Sababu internet yao ni dedicated. Sio shared.Habari Wadau hope wote mpo poa
Sasa wakuu kwa sisi wengine internet no very important na mitandao ya simu nu zengwe fupya mpini yaand unaenda Huuliza unlimited internet unaambiwa 50,000 lakoni ajabu Kana limot 50GB
Mimi nikaona usiwe tabu nikawa natafuta Unternet mbadala ndoo hapo na kaingda SIMBANET aisee
gharama nolizokuta huko nimekimbia
Instalation 1,400,000/=
Bando per mounth 550,000
Sara wadau nauliza hizo gharama ni kweli au wanataka Kundpoga
Naombeni msaada mm nipo Gongo la Mboto
mm nina zuku ofisin 69000 per mouth na ni dedicatedSababu internet yao ni dedicated. Sio shared.
Jamaa wapo vizuri kama una matumizi ya kiofisi,
ni 10 mbps mega bit sio mega byteHiyo 550,000 labda kama wanakuuzia speed ya NASA
Zuku ni sharedmm nina zuku ofisin 69000 per mouth na ni dedicated
usibishe zuku ni dedicated unajua maana ya internet sharedZuku ni shared
kwan airtel wana internet unlimitedAirtel gharama ya installation ni usd 500
So unabishana na zuku wenyewe? Soma Terms zao wenyeweusibishe zuku ni dedicated unajua maana ya internet shared
shared means ukiextend speed itagawanyika sisi ofisin kuna pc zaid ya 10 tunatumia roiter moja wote tunapata 10Mbps
ww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijuiSo unabishana na zuku wenyewe? Soma Terms zao wenyewe
View attachment 2218349
Unapata speed kubwa sababu haijajaa ila watu wakiwa wengi speed inadrop.
Mara kibao Jumapili kukiwa na Mechi kubwa EpL naona Bandwidth inashuka, sometime inatoka 20 mpaka 15mbps.
Simbanet yenyewe ni dedicated na walengwa wao si mimi na wewe bali makampuni. Kampuni nyingi kubwa TZ zinatumia Simbanet ikiwemo likes of Metl. Unafungiwa internet Branch mbalimbali Arusha, Mwanza, Dar etc na zote zinakuwa Connected in same network, not just internet bali Intranet pia.
Computer zote zinakuwa connected, unaweza Tuma reports, kupiga simu, na mawasiliano mengine ndani ya network yenu wenyewe.
mkuu umetumia lugha kali sana kwa jamaa.Unaweza toa maoni bila lugha ya kumkwaza mtu.Ila pia uliye mwambia mshamba anategemewa humu ndani michango yake upande wa tech.Hebu pitia michango yake/ww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijui
ipo hv shared internet mean unatumia public IP na dedicated unatumia private IP so shared internet akija mtaalamu wa IT anaweza kuiba data zako kirahisi kuhusu spidi ni utata hata mm adi sasa sielewi cha msing nipe mbinu wapi napata unlimited internet nafuu nikiwa nje ya town ao simba net wataniua tu USD 250 per mouth no bora niende smile 180000 unlimited per mouth
Kama kitu hujui wewe ndio uliza,ww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijui
Dedicated means mnakubaliana mfano umechagua 5mbps wanakupa Exactly hio speed, wakati shared utaona kabisa wanaandika up to, ikishuka wao huwezi wafanya chochote.ipo hv shared internet mean unatumia public IP na dedicated unatumia private IP
Kampuni inayonunua Simbanet likely mtu wa IT haji, pengine ina Team ya watu wa IT wameajiriwa.so shared internet akija mtaalamu wa IT anaweza kuiba data zako
Nyuzi kibao zipo Humu, 20mbps Vodacom 115,000 Superkasi. Unlimited.kirahisi kuhusu spidi ni utata hata mm adi sasa sielewi cha msing nipe mbinu wapi napata unlimited internet nafuu nikiwa nje ya town ao simba net wataniua tu USD 250 per mouth no bora niende smile 180000 unlimited per mouth
Mkuu umekuja kuuliza, watu wanakujibu , unakuwa mkali na kutukana..ww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijui
ipo hv shared internet mean unatumia public IP na dedicated unatumia private IP so shared internet akija mtaalamu wa IT anaweza kuiba data zako kirahisi kuhusu spidi ni utata hata mm adi sasa sielewi cha msing nipe mbinu wapi napata unlimited internet nafuu nikiwa nje ya town ao simba net wataniua tu USD 250 per mouth no bora niende smile 180000 unlimited per mouth
Hii jamaa ni nyumbu ka Maguireww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijui
ipo hv shared internet mean unatumia public IP na dedicated unatumia private IP so shared internet akija mtaalamu wa IT anaweza kuiba data zako kirahisi kuhusu spidi ni utata hata mm adi sasa sielewi cha msing nipe mbinu wapi napata unlimited internet nafuu nikiwa nje ya town ao simba net wataniua tu USD 250 per mouth no bora niende smile 180000 unlimited per mouth
Si dedicated hiyo labda kwa matumizi yako ndo unahisi ni dedicated ila kiuhalisia siomm nina zuku ofisin 69000 per mouth na ni dedicated
Kajamaa kabishi sanaSo unabishana na zuku wenyewe? Soma Terms zao wenyewe
View attachment 2218349
Unapata speed kubwa sababu haijajaa ila watu wakiwa wengi speed inadrop.
Mara kibao Jumapili kukiwa na Mechi kubwa EpL naona Bandwidth inashuka, sometime inatoka 20 mpaka 15mbps.
Simbanet yenyewe ni dedicated na walengwa wao si mimi na wewe bali makampuni. Kampuni nyingi kubwa TZ zinatumia Simbanet ikiwemo likes of Metl. Unafungiwa internet Branch mbalimbali Arusha, Mwanza, Dar etc na zote zinakuwa Connected in same network, not just internet bali Intranet pia.
Computer zote zinakuwa connected, unaweza Tuma reports, kupiga simu, na mawasiliano mengine ndani ya network yenu wenyewe.
Habari Wadau hope wote mpo poa