comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Waziri wa nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Mh Geogre Simbachawene amewaomba waliokua watumishi wa umma na kuondolewa kimakosa wakati wa zoezi la uhakiki wa vyeti na kuondoa watumishi hewa wapeleke vielelezo katika ofisi yake, ili aweze kushirikiana na Wizara iliyo chini ya ofisi ya Rais Utawala bora, Menejimenti na Utumishi wa umma wakae kwa pamoja na kuweza kuyapitia na kuangalia makosa hayo ili kuwarudisha kazini
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV