Simbachawene: Mitambo ya Gesi Mtwara ing'olewe

Hawana lolote huo ni upepo utapita na gesi itaenda na wao watabaki na mashimo na uchaguzi ukifika tutashinda tena kwa kishindo.
 
Waliochoka na haya madudu ya serikali ya ccm, wanachi wamekata tamaa na serikali yao.
Hizi kauli za viongozi wasijedhani wanawalenga wanamtwara pake yake, hili suala la gesi lisipopatiwa ufumbuzi wa dhati, chachu ya mtwara huenda ikaenea nchi nzima.
 
uongozi miaka 50 na mwenyekiti wa bunge kauli ndo hizo jamani mnataka ushahidi upi kuwa hamna ccm huo uzoefu wa kuongoza uko wapi??
 
Swadakta! Hakika haya majitu ya CCM yameishiwa na yanazidi kuwa mazuzu. Ni vema uje ung'oe hiyo mitambo haraka na siyo hii ya Mtwara tu bali yote iliyopo hapa nchini. Hii nchi si mmepewa urithi na baba na mama zenu?
 

Taarifa ya habari TBC leo saa 2 katika habari za biashara Stanley Genzel ameripoti kuwa 75% ya madini ya dhababu na tanzanite inayochimbwa na hao wawekezaji hairipotiwi. Kwa lugha nyingine inaibiwa na hivyo huo mrahaba tunaopewa ni wa ile 25% inayobaki. Shame !!
 


Acha porojo weka source hapo.
 
Khaa,, eti hizi ni akili za kiongozi maajabu kabisa haya. Unawezaje kuongelea revenge kwa wananchi ambao inabidi uwatumikie?na unatumia kodi zao kwa mshahara wako? Where is the sense of responsibility?
 
hivi atakuwa anamkomoa nani?? ila kwa ninavyomfaham huyo bwana, ni ngumu kuamini kama ni kweli maneno hayo yametoka kinywani mwake.....angesema lukuvi (std VII) Nisingekuwa kuwa na shaka sana......:becky::becky:

Tena?mbona tuliambiwa lukuvi ana master degree'mnatuchanganya wakuu
 


Mpaka sasa siamini tena taarifa zinazoandikwa humu na watu fulani kuhusiana na suala la gesi mtwara. Mwanzo mkaripoti kuwa Simbachawene alikwenda Mtwara kumbe ulikuwa uongo na wala hajakanyaga mtwara mwaka huu 2013. Sasa huyu naye anakuja na habari zingine kabisa ama kweli hii ndiyo jamii forum... Kwa nini visiandikwe vitu vyenye ushahidi hapa kuliko kuumba stori kila mara.
 
Unaspin ukweli Simbachaweme alikuwa Mtwara kuna mwananhci alieleza jinsi walivyomzuia na magogo kumzuia njia ilikuwa live channel ten Generali on Monday be careful
 
Fisichawene ndiyo kitu gani unafanya sasa ? Kweli uwaziri unapofusha ! Kutoka kupiga debe hadi kuwadharau wana Mtwara duh ! Halafu wewe Tupatupa huwaogopi Nape na Tiss yake waliozunguka Lumumba hapo ! Kila siku unaleta mambo ya jikoni , Shauri yako !
 
Mnajua nini mazee chawene yeye na mkuu wa mkoa wa matwara jana walitaka kufanyiwa kitu mbaya na wanakijiji wa msimbati kule ambako gesi inatoka, walijifanya ziara ya siri wenyewe wakali wakaigoogle wakaambizana wakapanga mawe barabarani wakimuwinda chawene, weeee intellegence wakamwambia ukifika huko wakikukamata watakutafuna wana hasira, msafiri ukaishia njiani wakarudi mtwara mjini, hawa ghasia anadai kuwa madai ya gesi ni y watu wa mtwara mjini, alishaambiwa zamani sana na watu wakijiji cha msimbati kuhusu gesi, kama mbunge wa sehemu muhimu kama hiyo kwa woga ana zaidi ya mwaka na nusu sasa hajafika huko, pengine labda huwa hamsikii sana habari za mtwara lakini huku ukisema tu gesi itaenda dar unaweza ukapigwa ngumi kwa taarifa hata mkuu wamkoa siku hizi haonekeni issue nyingi anafanya mkuu wa wilya na tarehe 21/01/2013 kuna maandamano tena ila haya ni ya kumg'oa mkuu wa mkoa kwa matusi yake na kashfa, sio siri yeyote aliye ccm aje tu ang'oe mitambo waende zao, mtwara ya 2012/6 haifanani kabisa na leo watu wamechoka wanataka kumwajibisha kila anayewapinga na kama ccm wakiendelea na jeuri hii mtwara uchaguzi wa wabunge na madiwani utafanyika mwaka huuuuuuuuuuu:A S angry:
 
wao wanadhani watakuwepo madarakani milele, kumbe 2015 lazima watoke wapende wasipende.mawazo yao ni ya kitoto sana.Mtwara wamedhamiria kuona mwisho wa dhuruma unafika. haiwezekani watu wachache watuchezee namna hiyo.
 
Mtwara ndiyo ilikuwa ngome kuu ya ccm. Sasa naona ngome ya ccm sasa imebakia Zanzibar (Unguja) vijijini tu!
 
Simbachawene alikuwa mpiga debe wa mabasi unategemea nini? ,yeye na lukuvi ni janga la kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…