1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Jun 27, 2011 #41 nimeenda RUHUNDWA, FUFU,MWANAWOTA,LUMUMA,MBUGA na sehemu nyingine nyingi ukitaka kunywa chai ni kwa walimu na viongozi wa vijiji tu huku tunakula ugali asubuhi, atusamehe mbunge wetu labda anamaanisha pale kibakwe stendi
nimeenda RUHUNDWA, FUFU,MWANAWOTA,LUMUMA,MBUGA na sehemu nyingine nyingi ukitaka kunywa chai ni kwa walimu na viongozi wa vijiji tu huku tunakula ugali asubuhi, atusamehe mbunge wetu labda anamaanisha pale kibakwe stendi