Mzee Uchwara
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 119
- 35
Weka picha.
Mwambie awahi mahakamani hakuna charadhi wala nini.
[/FNT]
Weka picha.
Ha ha haa, basi huenda na huyu Naibu Waziri naye atahojiwa na polisi!Hata Prof Kapuya alisema analipeleka mahakani mpaka leo yeye ndio kahojiwa polisi kwa kosa la kubaka. Wapi Le Mutuz Mutu ya Maleccela.
akamuombe radhi mama'ake na baba'ake waliomzaa kwa kutokumfundisha tabia njema.
Sasa hapa kaja duniani tutamfundisha adabu aliyonyimwa na wazazi wake
Naibu waziri wa nishati na madini amelitaka gazeti la tanzania daima limuombe radhi, kutokana na kuandika habari za uongo ambazo zilisema kuwa amesema watanzania watumie vibatari kama wakishindwa kulipia umeme. Amesema kuwa umeme haujapanda bado,lakina tanesko wameomba umeme upanda kwa asilimia 67. Kwani suala hili liko EWURA. Source dk 45 ITV. Kwa nini tanzania daima lina waandishi wa habari makanjanja? Au wanatoa ajira kwa upendeleo? Nawasilisha.