Simbachawene: Gazeti la Tanzania Daima liniombe radhi

Mzee Uchwara

Senior Member
Oct 28, 2013
119
35
Naibu waziri wa nishati na madini amelitaka gazeti la tanzania daima limuombe radhi, kutokana na kuandika habari za uongo ambazo zilisema kuwa amesema watanzania watumie vibatari kama wakishindwa kulipia umeme. Amesema kuwa umeme haujapanda bado,lakina tanesko wameomba umeme upanda kwa asilimia 67. Kwani suala hili liko EWURA. Source dk 45 ITV. Kwa nini tanzania daima lina waandishi wa habari makanjanja? Au wanatoa ajira kwa upendeleo? Nawasilisha.
 
Hata Prof Kapuya alisema analipeleka mahakani mpaka leo yeye ndio kahojiwa polisi kwa kosa la kubaka. Wapi Le Mutuz Mutu ya Maleccela.
 
Mwambie awahi Kisutu pale. Hela za kuandika kesi anitumie tu hiyo payment vocha nimlipie kama hana. Zile za kulipia nguzo ya umeme nimeanza kununulia ulanzi hii change inatosha kumlipia afungue mashitaka asije sema kakosa hela.
JK, wewe ndiye tegemeo letu sisi wanyonge, tunajua wewe hutendi vibaya lakini, uteuzi wako huu wa mwisho, na haswa wizara hii ya Nishati, kweli itakuangusha. Uliwekewa majina ya Vi. cha. aaaaaaaaaaaaaa. Hata Simbachawene!! Walikosea jina
 
simbachawene alikuwa condactor huyu wa maabasi ya uncle wake mpwapwa dodoma nashanga sana eti ni mwanasheria.
 
Viongozi wa nchi hii wakati mwingine wanacheza na maisha ya wanachi wao
 
Kwa nini wasiende kupimwa IQ viongozi wa namna hii?. Alisema mwenyewe na vyombo vya habari ikiwemo tv zilirusha hiyo kauli na leo ameshasahau kuwa alitamka. Baadhi ya viongozi wa CCM wanasadifu Chance for Challenging Memory (CCM)
 
Hata Prof Kapuya alisema analipeleka mahakani mpaka leo yeye ndio kahojiwa polisi kwa kosa la kubaka. Wapi Le Mutuz Mutu ya Maleccela.
Ha ha haa, basi huenda na huyu Naibu Waziri naye atahojiwa na polisi!
 
aende mahakamani akaumbuliwe huko
kusema alisema asituone majuha
yeye ndio anatakiwa kuwaomba msamaha wananchi na sio gazeti
 
Akamuombe radhi mama'ake na baba'ake waliomzaa kwa kutokumfundisha tabia njema.
Sasa hapa kaja duniani tutamfundisha adabu aliyonyimwa na wazazi wake
 
Hivi Mwalipwa Nini Kwa Huu Utumbo Mloandika. Msalimie Sana Muhongo Mzee Wa Facts!
 
Naibu waziri wa nishati na madini amelitaka gazeti la tanzania daima limuombe radhi, kutokana na kuandika habari za uongo ambazo zilisema kuwa amesema watanzania watumie vibatari kama wakishindwa kulipia umeme. Amesema kuwa umeme haujapanda bado,lakina tanesko wameomba umeme upanda kwa asilimia 67. Kwani suala hili liko EWURA. Source dk 45 ITV. Kwa nini tanzania daima lina waandishi wa habari makanjanja? Au wanatoa ajira kwa upendeleo? Nawasilisha.

Makanjanja wa Tanzania Daima chanzo chao kikuu cha habari ni bavichaa wa JF, unategemea nini?

Zilipoletwa hizi habari kwa mara ya kwanza humu JF (kabla ya Tanzania Daima) mimi binafsi nilizipinga na nilisema nimjuavyo Simbachawene hawezi kutoa kauli hiyo.

Mungu hamfichi mnafik.
 
Kama anataka aende huko Mahakamani kama yeye ni mwanaume wa ukweli si aende Huyu mp...u..mb...a...v..uu ....u alisema sasa anatokwa na povu tu hana jipya njaa tupu
 
kuanzia Kibanda aondoke kule gazeti halina tofauti na magazeti ya shigongo udaku umbeya na ujinga mwingi sana.
hata juzi wamemzushia waziri wake eti amekataa ndege ni ujinga mtu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom