Hili tatizo la hiki kitengo cha dharula kimekuwa kero kwa muda mrefu, ukipiga simu hawapokei na wakipokea watasema wanakuja lakini wapi ukiwafuata ofisini unawakuta wamekunja ndita utafikiri umeingia kambi ya ffu jibu utakalopata utatoka bila hamu.
Leo waziri kajionea mwenyewe, nguzo zimelala hadi zianguke zenyewe itv wazipige picha na sam mahela akusanye wapita njia ndo waje, sasa simbachawene kawanyemela kawakuta wabeba ngazi wako baa na totoz sasa kaamuru wote watimuliwe, jamani kumbe wenye maamuzi magumu wako wengi nchi hii, hongera sana.
Yule dalali wa luku nae kastukiwa kumbe alikuwa anaongeza cha juu, yaani sipati picha luku zote nchi alikuwa anakula cha juu, jamaa ana laptop tu lakini anapiga hela kwa kwenda mbele, hata sielewi kwanini kila mkoa usiwe na wakala wake na uwakala huu ufanyike kwa tenda? mchoro huu sijui nani alimlengesha naona kapiga hela muda mrefu sana, Simbachawene kama kawaida ya Simba mawindoni kamnyemelea kamchomoa kiulaini mbinu zilezile anazotumia kuwinda swala, safi sana.
Unajua muda mwingine unapaswa kuwa na akili kama ya "mpiga debe wa stendi" maamuzi ni papo kwa papo.