Simba yatolewa kwa penati 4 - 3 | Orlando Stadium

Ukweli utabakia kuwa Simba ni timu kubwaa
Simba ni wawakilishi pekee Africa mashariki na kati

Simba imejitoa hata kama haikua na wafungaji bora wamekua na team work na hawajakata tamaa

Na wamepambana hata kama sio kwa kufunga wamepambana kuzuia magoli huo ndo uanaume, mwanaume anapaswa kutake action ili afikie lengo lake kwa njia yoyote ile,lengo la Simba jana ilikua ni kuzuia magoli na hata kama ni kupata goli basi wanahakikisha hawafungwi.

Halafu Hao pirates wamepata goli la kuhenyaaaa yani wamehenyaaa tumeshindwa ila tumewahenyeshaaaa ndo furaha yetu..
 
Wachawi Tu Nyie Hamna Lolote
 
Simba bila chupri chupri haishindi. Ni timu mbovu kuliko

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kiboko ya kolos
1200px-Orlando_Pirates_FC_logo.svg.jpg
 
Aibu mliolitia taifa kuloga hadharani aliwatuma Manara!!!!?View attachment 2200788View attachment 2200790

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Acha maneno ww mzee. Huo moshi huwa hauuoni hata altaren au kwa shekhe wakati wanasali au huo ni ulozi. Kazi ya ubani ni kufukuza pepo wachafu na kujitia wakfu kama kuna baya linapotea ndo maana mechi iliishia kwny matuta maana hata fitna zao na pepo wachafu waliondoka lakini bahati haikua yetu. Manara ndo msukule wenu yani akiwepo huko kuna kafara anafanyaga. Aibu ni nyie kujiita mabingwa wa kihistoria wakati hata kwenye rank ya club bingwa Africa hampo
 
Back
Top Bottom