grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Huyo Pluijm alivyokuja kwa mbwembwe kila mtu akajua Yanga itakuwa bonge la timu. Mara ooh namfahamu Logarusic vizuri toka Ghana nitamfunga, matokeo yake akaponea chupuchupu kuambulia kipigo kwa kusawazisha kwa goli la usiku.
Baada yakuona mambo magumu TZ ameingia mitini mwenyewe bila kuambiwa...
Baada yakuona mambo magumu TZ ameingia mitini mwenyewe bila kuambiwa...