kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Simba SC imetangaza kuachana na nyota wake Haruna Shamte, Henry Joseph, Ramadhan Chombo na Uhuru Seleman waliomaliza mikataba yao!
===
Tetesi
YANGA KUMFILISI OKWI: Mbali na taarifa kuwa Yanga imemalizana na Emmanuel Okwi, habari za uhakika ni kwamba muafaka haujafikiwa na huenda akafilisiwa!
MAXIMO AMPIGA BAO PLUIJM YANGA: Ni baada ya uongozi wa Yanga kusema kuwa hauwezi kufanya usajili bila ruhusa ya Maximo mbali na Pluijm kuacha ripoti ya usajili.