Simba Yapendezesha Yanga

Simba Yapendezesha Yanga

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Nitajie Kikosi cha Wachezaji wa Yanga waliotoka SIMBA kwa msimu wa 2012/3
 
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4

  1. Mrisho Ngassa
  2. Obina
  3. Shaban Kondo
  4. Dida.........mzizi wa SSC
  5. Wakimkosakosa Kiemba
  6. Walimkosakosa Kaseja
  7. ................................ATAKUWEPO TU
 
Obina na kondo umetokota hawakuwa wachezaj wa simba!
Obina ana mkataba na african lyon na kaenda yanga kwa mkopo,hajauzwa
 
Dully unafuatilia vizuri matukio au umeandika kishabiki? kuna kitu nachokoza hapa............
 
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4

  1. Mrisho Ngassa
  2. Obina
  3. Shaban Kondo
  4. Dida.........mzizi wa SSC
  5. Wakimkosakosa Kiemba
  6. Walimkosakosa Kaseja
  7. ................................ATAKUWEPO TU

8. Jama mba
9. davis mwape
 
I like it, waligundua wakienda wenyewe wanapata magarasa, sasa wameamua kuvizi makombo yanayoanguka mezani mwa Simba

Simba now hawana hela ndio maana wanasajili wachezaji cheap
 
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4

  1. Mrisho Ngassa
  2. Obina
  3. Shaban Kondo
  4. Dida.........mzizi wa SSC
  5. Wakimkosakosa Kiemba
  6. Walimkosakosa Kaseja
  7. ................................ATAKUWEPO TU

9)bartez
10)Nurdin bakar
11)yondan
12)chuji
13)twite
14).....
 
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4

  1. Mrisho Ngassa
  2. Obina
  3. Shaban Kondo
  4. Dida.........mzizi wa SSC
  5. Wakimkosakosa Kiemba
  6. Walimkosakosa Kaseja
  7. ................................ATAKUWEPO TU

Ndicho pekee kilichobaki kwa wanasimba baada ya malkia wa nyuki kuota mbawa. Ngasa lini alikua na mkataba Simba, vipi Kondo alisajjiliwa lini na Simba, Obina alicheza lini SImba? Dida mmemuuza shilingi ngapi vile? Nilidhani wewe ni mtu makini kuliko Rage, sasa naanza pata shaka uwezo wa wana Simba kufikiri.
 
Nyenyere kuna hoja MAKINI unaiokosa hapa ndugu yangu, bado niko makini sana kuliko ....nimeleta utmu wa hoja jamvini
Ndicho pekee kilichobaki kwa wanasimba baada ya malkia wa nyuki kuota mbawa. Ngasa lini alikua na mkataba Simba, vipi Kondo alisajjiliwa lini na Simba, Obina alicheza lini SImba? Dida mmemuuza shilingi ngapi vile? Nilidhani wewe ni mtu makini kuliko Rage, sasa naanza pata shaka uwezo wa wana Simba kufikiri.
 
Simba now hawana hela ndio maana wanasajili wachezaji cheap

kuna hela na ufundi pia, mbona mkienda wenyewe mnachungulia vizuri tu kwani lazima mshindane na Simba kifedha, nakukumbusha wachezji kama Domayo Frank, Kjiko, Joshua, Msuva etc, mlichungulia bila kushindanisha fedha ma Simba
 
Bathez aliwekwa benchi karibu misimu 6 kaja Yanga ndio kipa namba moja mnatamani angebaki,

Nurdin mlisema mgonjwa wa moyo hawezi cheza tena mpira

Chuji kuna kiongozi wenu alikuwa anakula mke wa Chuji,akaamua aje Yanga

Yondani aliwashinda kumlipa mshahara mkiti wenu akaapa Yondani hatacheza Yanga
 
Hawa pia waliwahi kwenda Simba: 1. Edibliy Lunyamila, 2. Saidi Mwamba (Kizota), 3. Mohamed Hussein (Mmachinga), 4. Thomas Kipese (Uncle Tom), 5. Mike Barasa, 6. Ephraim Makoye (Wa jina), 7. Amri Kiemba, 8. Mrisho Ngassa, 9. Kigi Makasi, 10. Yusuph Macho (Muso), just a few to mention, wengine ongezeeni wakuu maana orodha ni ndefu, sasa jeuri ya Simba kuicheka Yanga iko wapi?
 
Bathez aliwekwa benchi karibu misimu 6 kaja Yanga ndio kipa namba moja mnatamani angebaki,

Nurdin mlisema mgonjwa wa moyo hawezi cheza tena mpira

Chuji kuna kiongozi wenu alikuwa anakula mke wa Chuji,akaamua aje Yanga

Yondani aliwashinda kumlipa mshahara mkiti wenu akaapa Yondani hatacheza Yanga

Yondani walikuwa wakimtambua kama mpenzi wa Yanga siku zote pale Msongamanoni, kila Simba ikifungwa na Yanga, Yondani alikuwa akibebeshwa lawama za kucheza kinazi, sasa karejea home tatizo liko wapi?
 
Bathez aliwekwa benchi karibu misimu 6 kaja Yanga ndio kipa namba moja mnatamani angebaki,

Nurdin mlisema mgonjwa wa moyo hawezi cheza tena mpira

Chuji kuna kiongozi wenu alikuwa anakula mke wa Chuji,akaamua aje Yanga

Yondani aliwashinda kumlipa mshahara mkiti wenu akaapa Yondani hatacheza Yanga

Nakumbuka kuna siku alipigwa chenga na Ngasa wakasema kahongwa na Yanga
 
Back
Top Bottom