Simba Yapendezesha Yanga

Simba Yapendezesha Yanga

nenda Tawi la Mpira Pesa uoneshwe kadi yake
Yondani walikuwa wakimtambua kama mpenzi wa Yanga siku zote pale Msongamanoni, kila Simba ikifungwa na Yanga, Yondani alikuwa akibebeshwa lawama za kucheza kinazi, sasa karejea home tatizo liko wapi?
 
ongelea kuhusu tija na ufanisi
Hawa pia waliwahi kwenda Simba: 1. Edibliy Lunyamila, 2. Saidi Mwamba (Kizota), 3. Mohamed Hussein (Mmachinga), 4. Thomas Kipese (Uncle Tom), 5. Mike Barasa, 6. Ephraim Makoye (Wa jina), 7. Amri Kiemba, 8. Mrisho Ngassa, 9. Kigi Makasi, 10. Yusuph Macho (Muso), just a few to mention, wengine ongezeeni wakuu maana orodha ni ndefu, sasa jeuri ya Simba kuicheka Yanga iko wapi?
 
Bwana haya mashabiki ya simba hayawezi kukuelewa wamekalia ubishi tu wa kwenye kahawa
Bathez aliwekwa benchi karibu misimu 6 kaja Yanga ndio kipa namba moja mnatamani angebaki,

Nurdin mlisema mgonjwa wa moyo hawezi cheza tena mpira

Chuji kuna kiongozi wenu alikuwa anakula mke wa Chuji,akaamua aje Yanga

Yondani aliwashinda kumlipa mshahara mkiti wenu akaapa Yondani hatacheza Yanga
 
Hawa pia waliwahi kwenda Simba: 1. Edibliy Lunyamila, 2. Saidi Mwamba (Kizota), 3. Mohamed Hussein (Mmachinga), 4. Thomas Kipese (Uncle Tom), 5. Mike Barasa, 6. Ephraim Makoye (Wa jina), 7. Amri Kiemba, 8. Mrisho Ngassa, 9. Kigi Makasi, 10. Yusuph Macho (Muso), just a few to mention, wengine ongezeeni wakuu maana orodha ni ndefu, sasa jeuri ya Simba kuicheka Yanga iko wapi?

11. Amir Maftah
 
Amri Kiemba (SPUTANZA) Frm Yanga; Kelvin Yondani (TFF) Frm Simba. Mlinganyo uko sawa kwa sawa.

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:Wewe lazima utakua Yanga Academia..........sio wale wa Mwembe Yanga/Bomba
 
Hawa ni kwa mwaka huu tu na huenda kwa msimu wa 2013/4

  1. Mrisho Ngassa
  2. Obina
  3. Shaban Kondo
  4. Dida.........mzizi wa SSC
  5. Wakimkosakosa Kiemba
  6. Walimkosakosa Kaseja
  7. ................................ATAKUWEPO TU

acha Unazi wewe...! OBINA,KONDO hao ni FreeAgent Na NGASSA hajatoka Simba
Dida Na FreeAgent alikua Azam.
 
Back
Top Bottom