Simba yaongeza mbrazil wa tatu

Simba yaongeza mbrazil wa tatu

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,652
Huyu naye anaongeza idadi wa wachezaji wa kimataifa watano ambapo wabrazil wapo watatu,anaitwa Tairone dos santos ana miaka 30,ametokea klabu ya cearense ya kwao,Ni beki wa kati
FB_IMG_1561716682166.jpeg
FB_IMG_1561716678792.jpeg
FB_IMG_1561716673198.jpeg
 
wasije wakawa wa mafungu hawa ikawa shida mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom