Simba yaongeza mbrazil wa tatu

Simba yaongeza mbrazil wa tatu

Kufanya kwao vizuri na hao waamerika wauza ngada Wamechukua makombe mangapi ya caf champions league mpaka sasa?

Ndio hapo sasa, ilimradi waamerica ya kusini basi wakajiona wamepata kweli 🤣🤣🤣 Wydad, Esperance, Al ahly na Tp mazembe hawana hata mmoja kutoka amerika lakini ndio wamechukua ubingwa mara nyingi kuliko mamelody ambae ana 1 tittle wamechukua 2016
 
Kwa usajili huu,hakika Simba wamejitoa kwenye reli. Wacha tusubiri tuone.
Ndio hapo sasa, ilimradi waamerica ya kusini basi wakajiona wamepata kweli 🤣🤣🤣 Wydad, Esperance, Al ahly na Tp mazembe hawana hata mmoja kutoka amerika lakini ndio wamechukua ubingwa mara nyingi kuliko mamelody ambae ana 1 tittle wamechukua 2016
 
Ubovu wake ni upi au kwa kuwa ilifungwa goli tano?

Hufuatilii mpira ndio maana. Si wangechukua ubingwa basi mbona wameshindwa kwa Wydad!! Na kwanini wasichukue mara nyingi kama wako vizuri? Katika records ya Caf Champions league wana tittle 1 tu ambayo wameipata 2016 nadhani bila international players.

So Waendelee kutesa ligi yao tu, huku kwa wakubwa hawapawezi.
 
Tungoje ligi ikianzaa tutaona uwezo wao.
 
Kwa mujibu wa msemaji wa Simba eti hawa wachezaji ni wajukuu wa gwiji la zamani la kandanda PELE
 
Back
Top Bottom