sidhani kama contention yako ni ya kweli. why? , maana wote wanaoshabikia mambo ya mipira hakuna mwenye akili ya kujadili technical issues kama hizi. 99% ya wanaoshabikia Yanga -Simba ni ig orant of pressing issue confronting this nation! Simba -Yanga ni football Hooliganism mentality funs......Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana Sambamba na ripoti ya CAG.
Ukitazama wananchi wanaoshupalia kuhusu Simba na Yanga ndio hao hao wenye Maisha Duni, ambao badala ya kuwekeza muda mwingi kwenye mambo yenye tija kwenye kujenga nchi kazi yao ni kuimba kivumbi na jasho.
Soma Pia:
Simba na Yanga utumika kama mbinu ya kuwatuliza watu kuweka umakini kwenye siasa au changamoto za kisiasa.
- Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
- Serikali yawaita mezani TFF, TPLB, Yanga na Simba kutafuta suluhu ya Dabi
Wanasiasa wakiona kuna sintofahamu, basi utengeneza propaganda kwenye michezo hasa Simba na Yanga kuwasahaulisha wananchi
tulieni dawa ituingie vizuri tuendelee kupigwa na fisiem deni la taifa karibia trln 100 na bado ni himilifuHizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana Sambamba na ripoti ya CAG.
Ukitazama wananchi wanaoshupalia kuhusu Simba na Yanga ndio hao hao wenye Maisha Duni, ambao badala ya kuwekeza muda mwingi kwenye mambo yenye tija kwenye kujenga nchi kazi yao ni kuimba kivumbi na jasho.
Soma Pia:
Simba na Yanga utumika kama mbinu ya kuwatuliza watu kuweka umakini kwenye siasa au changamoto za kisiasa.
- Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
- Serikali yawaita mezani TFF, TPLB, Yanga na Simba kutafuta suluhu ya Dabi
Wanasiasa wakiona kuna sintofahamu, basi utengeneza propaganda kwenye michezo hasa Simba na Yanga kuwasahaulisha wananchi
Wengi Wana Hali duni Mkuu, na wajinga wajingaUna uhakika gani kuwa mashabiki wa Simba na Yanga wengi wana hali duni?
Ila kumuongelea mropokaji na kupigwa tone tone ndio ujanjaHalafu chadema ndo wanawataka hawa hawa wananchi ndo waipambanie katiba mpya 😂 mwezi mzima inaongelewa upumbavu wa simba na Yanga 🗑️
Inawekwa kimkakatiGame ya Simba na Yanga ndio itakuwa game ya mwisho kufungia ligi
Hizo 99% lkn ni watanzania haosidhani kama contention yako ni ya kweli. why? , maana wote wanaoshabikia mambo ya mipira hakuna mwenye akili ya kujadili technical issues kama hizi. 99% ya wanaoshabikia Yanga -Simba ni ig orant of pressing issue confronting this nation! Simba -Yanga ni football Hooliganism mentality funs......
kimkakati zaidi wakati ccm ikiandaa tukio fulani kubwa kwa nchi ilitupoteane kabisaInawekwa kimkakati
Hahahahakimkakati zaidi wakati ccm ikiandaa tukio fulani kubwa kwa nchi ilitupoteane kabisa