Uzi tayari??
Utoto Raha sana. Maana mtoto hajui anacho kifanya muda wote anajiona yupo sahihi tu.
Mbona umebaki muda mfupi sana kabla ya mchezo husika.
Kwanini usiweze kuvumilia tu???
Wewe ni mganga, mtabiri, Mnajimu, ustadhi au ni nani???????
Kwa mkristo ni dhambj kufanya utabiri au unajimu,ANAYEIJUA KESHO NI MUNGU TU NA SI MWANADAMU.
Epuka dhambi ndogo ndogo.