Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
LICHA ya ushindi wa mabao 2-1 yaliyofungwa na Mganda Hamisi Kiiza katika mechi dhidi ya 'wakatisha tiketi' Stand United mjini Shinyanga, Simba wanaonekana kukwea kileleni kwa muda wakisubiri matokeo ya mechi ya kesho baina ya 'Wana lambalamba' Azam FC na wenyeji wao Coastal Union 'Wagosi wa Kaya' itakayochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Simba, ambayo ilikuwa inasuasua chini ya kocha Mwingereza Dyran Kery, sasa imezinduka na kupata ushindi wa tatu mfululizo tangu mikoba hiyo ilipoanza kushikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Uganda Mayanja Jackson, na ushindi wa leo umeifanya ifikishe jumla ya pointi 45 katika mechi 19, mbili dhidi ...