Na Mahmoud Zubeiry, Zanzibar
BAO pekee la kiungo Amri Ramadhani Kiemba, usiku huu limeifanya klabu ya Simba SC iuanze vyema mwaka 2014 baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi, Kundi B, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Simba wakishangilia bao lao pekee leo Uwanja wa Amaan
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
simba mwendo mdundo kama Arsenal..
Hongereni...
Hongereni...