Tanzania Utalii Dialogue
Member
- Jul 26, 2016
- 8
- 6
1.Hifadhi pekee na maarufu sana ambayo Simba wake wanapanda miti. Aina hii ya Simba hupatkan ZIWA MANYARA pekee barani Africa.
2.Pia hifadhi ambayo ipo ndani ya Bonde la Ufa, ambayo kingo zake zinaongeza mandhari nzuri.
Pia hifadhi hii Ina chemchem ya maji moto yanayobubujika kutoka ardhini huonekana yakitoa moshi kama maji yaliyochemshwa. KARIBUNI HIFADHI YA ZIWA MANYARA