Simba waongo kwa Shabalala?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,293
12,593
Shabalala amesikika akisema hataki tena kuichezea timu yoyote ya Tanzania bara kwa sasa huku Haji Manara akijinasibu tayari wamemsainisha mkataba mpya mchezaji huyo, ukweli ni upi?
 
Alishindwa kumkaba winga wa Zibwabwe, sasa sijui anataka kwenda wapi!! Labda Somalia
 
Back
Top Bottom