Kweli mkuu hapo umenena vema..Unamuomba tu msamaha na kumuahidi kuwa hutarudia tena kumfuata porini.
Mkuu unamfahamu Simba vizuri au unamuona kwenye video tu, unaujua mziki wa Simba wewe..sasa unataka uliwe kiboya!!..mtie dole hata jichoni,ale jicho moja
boya tu yule..anavizia..haji man to man..unaskia umepgwa kumbo..chini..fasta anawahi shingonMkuu unamfahamu Simba vizuri au unamuona kwenye video tu, unaujua mziki wa Simba wewe..
Kwambaali nmemuona rais Wa mioyo yao akiwa na wafuas wake wakikanyaganaSERENGETI National parks
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwambaali nmemuona rais Wa mioyo yao akiwa na wafuas wake wakikanyagana
Kumbe na yeye ni muoga mpaka avizie..boya tu yule..anavizia..haji man to man..unaskia umepgwa kumbo..chini..fasta anawahi shingon
Unatest uwezo wako wa mbioSasa Simba aina hii akikutokea ghafla ukiwa porini unajiokoa kwa namna gani.
Labda uwe Bolt..Unatest uwezo wako wa mbio
Boya sana huyu,sasa hivi anamvizia Asante Kwasi kwa kumtumia Makofia ili kuwadhulumu Lipuli.boya tu yule..anavizia..haji man to man..unaskia umepgwa kumbo..chini..fasta anawahi shingon
Wamejaa sana pale,Bi Hindu anasema,wabebe mimba kisha wamuite bi hindu au Chuma awazalishe bila ganziPia nimesikia mnao wanao katana dume kwa dume
Hii ktu nshawah kutana nayo Nandembo Tunduru,,hatari saana.Selous Game reserve KINGUPILA
Nimefungua haraka haraka nikanzani simba sports club.Hi great thinkers simba kuweza kupanda mtini ni kitu cha kustajabisha sana kwakweli.
Mimi napata wasi wasi kuwa inawezekana ni machotara wa simba na chui kidding.
Atakuwa Simba dizain ya Haji ManaraMkuu acha utani aisee,, unaweza kuzipanga na Simba..