Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.[emoji599] HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida.
Kwann wanapaswa kumfariji refa
.... kwasababu ndio wanufaika wakuu wa marefaView attachment 3356284
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga mlimpa bilioni ngapi kayoko[emoji599] HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida.
Kwann wanapaswa kumfariji refa
.... kwasababu ndio wanufaika wakuu wa marefaView attachment 3356284
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
nani kaupitisha na nani ana mamlaka ya kuichagulia uwanja Young Africans SC katika mechi zake za nyumbani?.Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
HATUCHEZIIIHatuchezi
Tunacheza
Dabi gani??Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
dabi kati ya TFF & BODI YA LIGI FC VS MIKIA SASII SC june 15Dabi gani??
Yanga gani??Yanga vs Simba
NBCPL 2024/25 2nd Leg
Match No. 184
Hakuna timu inaweza kulazimisha uwanja wa nyumbani iutakao hata kama ni mbovu. Ndio maana unasikia mara Sokoine, mara Jamhuri, mara sijui Ali Hassan Mwinyi, vimefingiwa hadi ukarabati ufanyike. TFF ndio waamuzi wa mwishonani kaupitisha na nani ana mamlaka ya kuichagulia uwanja Young Africans SC katika mechi zake za nyumbani?.
umepitishwa labda kwa mchezo wa june 15 kati ya TFF,BODI YA LIGI FC VS MIKIA SASII FC
Huyo Kepha Kayombo pamoja na wenzake 3 (Tatu Malogo, Japhet Smart, Shomary Lawi na yule mwamuzi wa pembeni Amina Kyando) huwezi kusikia wamefungiwa. Na yote hii ni kwa sababu inajulikana wazi wanachezesha mechi za simba kwa maelekezo maalum kutoka juu.Kengine haka
Chezeni na Singida nayo ni YangaYanga vs Simba
NBCPL 2024/25 2nd Leg
Match No. 184
Ni mchezo wa Ligi.Chezeni na Singida nayo ni Yanga