Simba wamelewa na ushindi wa kubebwa.

nzega ndogo

Member
Nov 18, 2016
79
78
Simba acheni kuzubaa , ni wakati wa usajili ...ulimbukeni hilo kombe mlo bebwa utawagalimu, inatosha mlivyoshangilia nikiteni kwenye usajili sasa, huyo boko alishazeeka tafuteni damu changa alaaaah!

Yanga watawamalizeni shauri yenu.
Mie nimemaliza

Nawasilisha
 
Acha wamsajili Boko majeruhi. Azam wamesoma alama za nyakati na bila shaka taarifa ya siri ya daktari South Africa, wameifanyia kazi. Simba wameingia chaka
 
Ila kama kweli simba wamemsajili boko itakua ndio ile wazungu wanaita a grave mistake
 
Baada ya MADARAKA ya kulevya sasa tunashudia MAKOMBE YA KULEVYA sio
hii nchi jinga sana
 
Kwani mizengwe ya kuinyang'anya Sumba pointi3 imesukwa Na malinzi mwaka huu wote tutapanda ndege
 
Shughulikeni na YANGA yenu ya SIMBA hayawahusu.Boko kasajiliwa sasa shida nini?ni Mzee sawa haina shida sajilini wenu kijana
 
Simba acheni kuzubaa , ni wakati wa usajili ...ulimbukeni hilo kombe mlo bebwa utawagalimu, inatosha mlivyoshangilia nikiteni kwenye usajili sasa, huyo boko alishazeeka tafuteni damu changa alaaaah!

Yanga watawamalizeni shauri yenu.
Mie nimemaliza

Nawasilisha
Ukichaa umekuzudia umeona uje huku unyolewe nywele update unafuu.
Mlibeba kombe mwaka juzi baada ya azam kupokwa pointing na mbeya city mambo ya kadi mlisikia wapi simba wakachonga juu yenu.Leo rais Wa tff ambayo kiufupi ingeitwa kff maana imejaa ukagera anavyoharibu sheria ili kuwabeba tuko kimya mnadhani hatujui.
Simba tunadai haki zetu kwa amani na mwisho Wa siku mtakaa chini mburula nyie.
 
Simba malimbukeni wa kupanda ndege mshukuru refa aliyewabebe kwa kuwapa penati halamu na kuwanyima Mbao penati halali
 
Kwanza majibu vipi ya Fifa au ndo dangaya toto? Mikubwa mizima inakubali kudanganywa.
Umeona leo kwenye gazeti la Champion eti Makofia anafuatilia point zao FIFA.

FIFA wana taratibu zao hawafanyi kazi kwa shinikizo la mtu yeyote. Hili suala ni tofauti sana na lile alilofuatilia kuhusu madai yao ya hela za Okwi.

Anadai suala lipo wazi mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi tatu. Amesahau kwa kigezo hicho hicho wasingefika fainali ya FA maana walimchezesha mwenye kadi nyekundu dhidi ya Polisi.

Hizi ni mbinu zao muda uende tu mbumbumbu wasahau
 
Mbona inawauma sana nyie kuliko sisi Mbumbumbu?
 
Hakuna ushindi wa mezani aliopewa yanga na malinzi. Yanga wamepata point zao zote uwanjani na wanapofungwa hawakati rufaa wala maandamano wanajipanga kwa mchezo mwingine.

Timu gani imepewa ushindi wa mezani?
 
Back
Top Bottom