Simba vs Yanga, Nani Amekamata Usajili Dirisha Hili?

Simba vs Yanga, Nani Amekamata Usajili Dirisha Hili?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.

Chini ni mtazamo wangu!!!!!!

Kikosi cha Simba SC

  1. Camara (Goalkeeper)
  2. Kapombe
  3. Naby Camara
  4. Chamou
  5. Rushine
  6. Kante
  7. Sowah
  8. Bajaber
  9. Dese
  10. Ahoua
  11. Mpanzu

Kikosi cha Yanga SC

  1. Diara (Goalkeeper)
  2. Mohamed Hussein
  3. Kibwana
  4. Bacca
  5. Job
  6. Konte
  7. Maxi
  8. Doumbia
  9. Boyeli
  10. Pacome
  11. Mzize
 
Kusajili wachezaji ni jambo moja na wachezaji ku perform ni jambo lingine.

Usajili ni 50/50.

Unaweza sajili mchezaji mzuri kutoka timu A akaja kuwa flop timu B.

Tusubiri ligi ianze tuone timu gani wachezaji wake watafanya vizuri zaidi.
 
mnyama kakamata tena TIIEFUEFU kwa hio mbeleko zinawahusu tena mwaka huu!
 
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.

Chini ni mtazamo wangu!!!!!!

Kikosi cha Simba SC

  1. Camara (Goalkeeper)
  2. Kapombe
  3. Naby Camara
  4. Chamou
  5. Rushine
  6. Konte
  7. Sowah
  8. Bajaber
  9. Dese
  10. Ahoua
  11. Mpanzu

Kikosi cha Yanga SC

  1. Diara (Goalkeeper)
  2. Mohamed Hussein
  3. Kibwana
  4. Bacca
  5. Job
  6. Konte
  7. Maxi
  8. Doumbia
  9. Boyeli
  10. Pacome
  11. Mzize
Simba hakuna conte, kuna kante
 
Toka lini Sowah akacheza namba 7 ???

Bajaber ni namba 8 toka lini ???
 
Majibu sahihi utayapata pale tu ligi itakapoanza kuchanganya, na pia pale itakapo tamatika.
Kwa sasa huwezi kupata jibu sahihi.
 
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.

Chini ni mtazamo wangu!!!!!!

Kikosi cha Simba SC

  1. Camara (Goalkeeper)
  2. Kapombe
  3. Naby Camara
  4. Chamou
  5. Rushine
  6. Kante
  7. Sowah
  8. Bajaber
  9. Dese
  10. Ahoua
  11. Mpanzu

Kikosi cha Yanga SC

  1. Diara (Goalkeeper)
  2. Mohamed Hussein
  3. Kibwana
  4. Bacca
  5. Job
  6. Konte
  7. Maxi
  8. Doumbia
  9. Boyeli
  10. Pacome
  11. Mzize
Katika kikosi cha Yanga Maxi anacheza kama kiungo wa kati namba 8 winga anacheza Acua na Pacome
 
Back
Top Bottom