Ningekuwa nina dhamana katika sekta ya habari lazima ningetengeneza mpango wa kuhakikisha Waandishi wanaokuwepo kwenye sekta ni wale wenye hiyo taaluma na kuthibitisha ueledi wa hali ya juu katika hiyo kazi yao.......Mwandishi licha ya kutoa habari kwa picha zenye mwelekeo mmoja tu lkn still bado habari yake chini ya hizo picha zinakwenda kinyume na uhalisia,mtu amekazana "Kisiga akimlamba chenga nani sijui,Kisiga akipasua katikati ya msitu wa mabeki,Kiemba akimpiga kanzu nani sijui,Chanongo aki'overlap....Ivo akimpiga dariz mshambuliaji wa team pinzani baada ya kuzuia shambulio" etc,etc....sasa najiuliza ma'dariz,matobo na makanzu yote hayo mbona wamefungwa?