bado bila bila
Hakuna jipya hapo ndio maana hata wapenzi wa Mnyama wamefyata kwa kusepa kidizaini.
Tumetulia, tukifuatilia kwa umakini.
updates nzuri angalau mtu anaelezea mpira unaendeleaje, hali ya mchezo kwa ujumla na zile tunaita ahh moments. Sasa hii ya unaendelea tu as if ni mchezo wa mitumbwi au kufukuza kuku inakera kwa kweri ! William Isihaka ??? huyu ni Gallas wetu yule dogo fundi au ?? Mbona mnatia shaka sasa bana....