mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Rekodi za nyuma zinaonyesha kuwa Simba na TP Mazembe walikutana mwaka 2011 kwenye CAF Champions League raundi ya kwanza:
Mechi ya kwanza ilipigwa Dar- Simba 2, TP Mazembe 3.
Mechi ya Pili ilipigwa DRC - TP Mazembe 3, Simba 1.
Kwenye mechi ya kwanza magoli ya Simba yalifungwa na Mkina dk 58 na Mbwana Samatta dk 70.
Mechi ya pili goli la simba lilifungwa na Emmanuel Okwi
Samatta aliwasumbua sana, na ndio chanzo cha wao kumnunua. Pia Okwi aliwasumbua sana.
Kiwango cha Simba cha sasa ni kikubwa kulioko cha wakati huo. Na kiwango cha TP Mazembe cha wakati huo ni kikubwa kuliko cha sasa! Wao wameshuka sisi tumepanda. Kwa hiyo Safari hii hawachomoki lazima Simba atafune mtu hapa kwetu na ugenini.
TP Mazembe hana rekodi ya kuifunga Simba magoli mengi.
Simba wanatamani hiyo mechi ingekuwa hata kesho watafune mtu!!