Simba Vs Ruvu Shooting: Tutegemee soka na matokeo ya aina gani?

Simba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Ht washapigwa mikia,tunasubiri half ya pili
 
Leo awa wazee kwenye defence ya Simba wamekutana na namba tisa wa kuwa challenge Fulu zuru Maganga ni namba tisa mwenye mwili, nguvu na kasi wazee wanapatashida kwelikweli sijui kama mpira ukiisha watapata muda wa kwenda kuvuta kiko.

 
Back
Top Bottom