Simba vs JKT Ruvu

Itabidi Moro Utd tuwapige Mvua za Magoli ili tuwe na Goal Difference nzuri so far sisi tuna 27 GD na Azam wana 24 GD na nadhani tuliwapiga Kotekote
 
Bado Moro United na Yanga wakati mpinzani wetu kwa sasa yaani Azamu bado Mtibwa Sugar, Toto Africa mechi yake ya tatu sii kumbuki...

Mechi ya tatu na Azam watacheza na Kagera. Lazima watajikwaa tu na hivyo Sisi kutangaza Ubingwa mapema (kabla ya mechi ya mwisho.)
 
mboni msimu ujao goma letu hilo kama lile la mapinduzi vile mdogomdogo tumeshafikia nafasi ya pili..
 
Binafsi kama nitashinda mechi ya leo sina haja tena kumtakia yanga mabaya labda Azam FC...
Mbona hujatoa matokeo ya mwisho ili na sisi tulio mbali tuelewe? Simba ameshinda au ameshindwa kwa bao ngapi kwa ngapi? Na Yanga je leo kapona kwa wakata miwa wa Kagera?
 
Mbona hujatoa matokeo ya mwisho ili na sisi tulio mbali tuelewe? Simba ameshinda au ameshindwa kwa bao ngapi kwa ngapi? Na Yanga je leo kapona kwa wakata miwa wa Kagera?

soma kuanzia page ya nne..
 
Mechi ya tatu na Azam watacheza na Kagera. Lazima watajikwaa tu na hivyo Sisi kutangaza Ubingwa mapema (kabla ya mechi ya mwisho.)
kwa kweli mechi zilizo baki ni ngumu halafu siyo rahisi hata kuhonga...
 
Mpira una endalea Simba 1 na JKT Ruvu 0...

========
Simba 3 na JKT Ruvu 0
Kagera Sugar 1 na Yanga 0
Coatal 1 na Polisi 0
Toto 2 na African Lyno 0

Simbaaaa!!!

Yanga mnaona madhara ya kumtumia Riz1 kama beki, mshambuliaji, kocha n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…