Simba vs JKT Ruvu

Ayaaaaaa...!!! Yanga wamelambwa aisee!
 
Hongera Mnyama, Poleni Wanazi wa Yanga mnaotembelea uzi huu.

Simba bado Pointi 4 wajihakikishie kuchukua ndoo!
 
Simba 3 na JKT Ruvu 0
Kagera 1 na Yanga 0
 
Ft: Simba 3 - JKT 0, Kagera 1 - 0............yebooo yebooo oyeeee......
 
rip yanga ndio mwisho msimu huu..

nakubali, lakini mtoto lazima always awe aware anapokutana na mkubwa wake....akumbuke "shikamoo".

so usisahau kutoa shikamoo kwa wazazi wako wawili (simba na yanga) hapa chini.

yanga: 23 times champions
simba: 17 times champions
azam: 0 times champions

azam bado ni work-in-progress. wasubiri another 5 years ku-lift any country level trophy - na hapo pia itategemea kama mzee bakhresa bado atakuwa na ubavu maana watu wa aina yake tumewaona wengi......gulamali, manji, dewji, mo na african lion yake (wote hawa walikuja wakaenda).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…