Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Simba: Unataka kutupiga picha? Hatukuruhusu!
Katika hifadhi ya kitaifa ya Masai Mara, mpiga picha alitaka kupiga picha za simba jike na watoto wao kwa kutumia remote, lakini simba alichukua moja kwa moja kamera yake.