Makungaranga
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 152
- 170
Kanoute na Mazimiru wote ni pure box to box midfield, hatuna namba 6 halisi, hatuna holding au hata playmaker wa chini
Sielewi ni kwanini Simba ilimdharau Kakolanya.Kumuachia Kakolonya kuandoka ulikuwa uamuzi mbovu, wangempa mkataba mzuri abaki kwa sababu pesa wanayo enda kuilipa kwa kumleta kipa foreigner itakuwa zaidi ya alicho omba Kakolanya. Maamuzi yamefanyika ya roho mbaya na kukomoana, typical roho za kitz.