Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

kishumbaz

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
904
1,243
Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner!
IMG_20210403_124101.jpg
 
Mm n shabiki wa yanga ila mashabiki walio wengi wa yanga n vilaza Sana

Mleta post timu yetu unaiona hali yake ilivyo unaona wenzetu leo wanapambana kucheza robo fainal ya champion league sisi timu yetu ambayo haijamilikiwa na mtu ipo wapi Sasa

Unatia kinyaa mkuu naumia walau na sisi angepatikana mtu Kama MO tungekuwa mbali Sana
 
mtan unaugulia pande zipi!
 
Wewe mwenye nayo umeifnyoia nini!?

Hizo ni dalili kubwa sana za umasikini kwa mtahiniwa wa tabia hizo.

Acha mimate mzee
 
Hivi hawa utopolo huwa wanaamini wanamiliki timu?

Ukiwauliza wanapata faida gani kwenye umiliki huo wanabaki wana shangaa tu.

Kweli wapenzi wengi wa yanga hawana elimu na kama walisoma basi ni vilaza sana.Watu tunashabikia Barcelona,Manchester city na tunakuwa na furaha leo unatuambia nini hapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom