Simba tukifungwa nifungwe jela miaka 3

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kesho matokeo Simba tunawapiga Yanga goli 3 na wao watapata goli moja ya utata.

Mwana Jangwani yeyote alete mwanasheria Simba wasipopata goli 3 au zaidi nifungwe jela miaka 5, Yanga wakijipapatua goli moja.
Mwana Yanga yoyote tusainishane
 
Hii sasa Kali. Hebu moderator mmoja atusaidie hapa. Tuwekeane 50000/= kila MTU. Mtafute moderator tumtumie atunze. Then ten itabaki kwake tisini ataichukua mshindi
Upo tayari tuwekeane hiyo dau ,mi simba naweka 100,000 we yanga weka 50,000 ,dro kila mtu anarudishiwa hela yake
 
mh
IMG_20201104_235740.jpg
 
Kaze hana huo mpira taifa.

Akiwa mikoani ndio anacheza huo mfumo.

Naomba kesho uandike uzi wa kutuomba radhi kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kufungwa jela miaka mitatu kwa kipigo cha kesho kwa simba.
Hizo mashuti zenu na long pass hazitapita kwa babu onyango
 
Kaze hana huo mpira taifa.

Akiwa mikoani ndio anacheza huo mfumo.

Naomba kesho uandike uzi wa kutuomba radhi kwa kushindwa kutekeleza ahadi ya kufungwa jela miaka mitatu kwa kipigo cha kesho kwa simba.
Kaze kitu gani ,tunampiga za kutosha uamuzi tunawaachia nye kama mtabaki naye au mtamfukuza
 
Back
Top Bottom