Simba tayari wameshafungwa kabla ya mechi

Simba tayari wameshafungwa kabla ya mechi

I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
wewe ni mjinga (sio tusi)ndio ukweli ujinga wako ni mdogo simba ndio mwenyeji wa mchezo, kukaa kimnya ukiwa mgeni yanga alijifunza Kwa simba ilifika hatua wanalalamika wao wakiwa wenyeji simba wanakuwa kimnya sana utafikiri hawachezi derb ,kama sio mwenyeji hakuna haja ya kutamba kumnufaisha mpinzani ni mbinu ya kuuza ticket maana asilimia kubwa ya mapato anapata mwenyeji
 
wewe ni mjinga (sio tusi)ndio ukweli ujinga wako ni mdogo simba ndio mwenyeji wa mchezo kukaa kimnya ukiwa mgeni yanga alijifunza Kwa simba ukifika hatua wanalalamika wao wakiwa wenyeji simba wanakuwa kimnya ,kama sio mwenyeji hakuna haja ya kutamba kumnufaisha mpinzani ni mbinu ya kuuza ticket maana asilimia kubwa ya mapato anapata mwenyeji
Mbinu za kijinga sana kwa watani wa jadi. Kukoseshana mapato.
 
1791429353706.jpg
 
wewe ni mjinga (sio tusi)ndio ukweli ujinga wako ni mdogo simba ndio mwenyeji wa mchezo, kukaa kimnya ukiwa mgeni yanga alijifunza Kwa simba ilifika hatua wanalalamika wao wakiwa wenyeji simba wanakuwa kimnya sana utafikiri hawachezi derb ,kama sio mwenyeji hakuna haja ya kutamba kumnufaisha mpinzani ni mbinu ya kuuza ticket maana asilimia kubwa ya mapato anapata mwenyeji
Huu utaratibu yanga ndio wameanza sasa simba walianza tangu kitambo sasa unatukana nini dogo?
 
Mpaka muda huu sijaona logic ya simba kwenda kuweka kambi Afrika ya Kusini. Ikitokea wakafungwa, hii ndiyo itakuwa ni sababu kubwa.

All in all, mchezo wa Yanga na simba ni vigumu kutabirika. Atakayetumia vizuri nafasi atakazo zipata, ndiye atakayeshinda.
Shehe mwali lzm aende saluni nzuri akapambwe ila bwana harusi anaoga muda ukikaribia na kuvaa suti imeisha hiyo
 
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
MImi ni shabiki wa simba, ila kweli simba ni mapimbi sana, hawajiamini utafikiri wanaenda kucheza na majini.
 
Mimi nadhani hizo safari ni watu kupiga pesa tu.
Kabumbu la simba limepotea kwasababu chama limejaa wahuni, simba alikuwa anaingia na confidence uwanjani, linapigwa pira biriani na mtani anachapika. Akina swedi nkwabi tutawakumbuka sana, akina hanspope.
 
Unaongelea mechi gani?
Rudi kwenye uzi wako tuanze upya stori ya derby
 
Back
Top Bottom