Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
You can't be serious mkuu....Mimi sina utani/ushabiki wa kipuuzi hata siku moja...kwangu mimi ni utaifa kwanza na hayo mambo ya Usimba na Uyanga baadae...Nitake radhi mkuu wanguWewe ni mzalendo, wenzako Balantanda na Jackbeur hawataki hata kuchungulia huu uzi.
Kumbuka hii itakuwa mechi ya ligi ya nyumbani, na kama marefarii hawatatafuta sababu za kupewa vipigo uwanjani, mjiandae kupata kichapoHa haa, tumewashika pabaya. Kwenye ligi kuu tunawaburuza, na kimataifa tunatesa!! Chezea simba wewe???
Ibrah! Kumbe humu upo!
Hongera Simba Football Club!
Nipo Mkuu, nadhani machungu yako ya Liverpool FC kule EPL yamepunguzwa na Wekundu wa Msimbazi.
hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
You can't be serious mkuu....Mimi sina utani/ushabiki wa kipuuzi hata siku moja...kwangu mimi ni utaifa kwanza na hayo mambo ya Usimba na Uyanga baadae...Nitake radhi mkuu wangu
Unajisikiaje
Hapana mkuu, watacheza na wale watakaofungwa kwenye ligi ya mabingwa ili kupata timu nane, kumbuka mwaka jana simba alivyoondolewa na Wydad, alicheza na Dc motema pembe kwenye kombe kama hili.hatua ya makundi (makundi mawili ya timu nne nne na watacheza kwa mfumo wa ligi) washindi wawili wa kwanza katika kila kundi wataingia hatua ya nusu fainali
Karibu sana Optic Density.Hongere sana Mnyama Kwa ushindi mtamu. Zitto 25 (a.k.a Okwi) nakufagilia sana umenipa raha kwa goli la tatu. Pokea busu langu Mwaa mwaa mwaa
Mkuu Balatanda keshatia timu hapa jamvini na katupongeza kwa ushindi anatuombea tufike fainali.Wewe ni mzalendo, wenzako Balantanda na Jackbeur hawataki hata kuchungulia huu uzi.
Najisikia kichomi timu imekaa kishirikina sana 66,77,88
hapana mkuu, watacheza na wale watakaofungwa kwenye ligi ya mabingwa ili kupata timu nane, kumbuka mwaka jana simba alivyoondolewa na wydad, alicheza na dc motema pembe kwenye kombe kama hili.
wakuu mechi ndo hiyo soon itaanza. mlio uwanjani kumbukeni kuchangia furaha yenu hapa ili tulioko mashambani tufaidike.
UPDATES:
Dakika ya 30: Simba 0 - 0 Ahli Shandy
Dakika ya 38: Simba 0 - 0 Ahli Shandy (Simba wamekosa Penalti)
Half Time: Simba 0 - 0 Ahli Shandy
Dakika 66: Simba 1 - Ahli Shandy (Haruna Moshi)
77min: Simba 2 - 0 Ahli Shandy (Mafisango)
88min: Simba 3 - 0 Ahli Shandy (Okwi)
FT: Simba 3 - 0 Ahli Shandy
mbona unaleta tabia ya TUNTEMENKE.
Najisikia kichomi timu imekaa kishirikina sana 66,77,88