Simba Taifa Kubwa!

TAIFA KUBWA, TAIFA TEULE, UMOJA WA MATAIFA, KIBOKO YA VIGOGO ni baadhi ya "a.k.a's" ambazo timu zilijizolea umaarufu zikiongozwa na TAIFA KUBWA (USA?) SSC!!!!!!
ilikuwa raha iliyoje!!!!
 
hao itakuwa wa hapa juzi juzi, kwa wakati huo tulikuwa tunnafata mikanda EMPIRE....!
jezi chata CANDY....! jezi nyekundu muda wote....!

...ha ha ha... usiwasahau VIDEO TRADERS jirani na Mbowe Club!
 
hapo nami nikajitoma SIMBA KIDS .....! I was by the way among the ones trying to juggle the ball.......!
 
Hapo ilikuwa Jangwani play grounds, Late BAHARIA & his asst DENNIS were trainning the team......!
I remember few of our play mates........ HAMIS MSAKUZI, NAGA, MOHAMED SIMBA, RASHID KIDISH(late), KIMTI(osward), GEBO(riziki), MAHADI, DEO, etc.....!
 
Jamani wakati tunaangalia historia ya Wekundu, Simba na Azam jana vipi katika kuitafuta nafasi ya pili?.
 
Mbu usinikumbushe shemeji yangu Eddo Chumilia,imebaki ni hadithi tu!
 
Mbu usinikumbushe shemeji yangu Eddo Chumilia,imebaki ni hadithi tu!

...oh, natanguliza pole... imekuwaje tena, yepi yamempata Eddo Boy, aka Goal-Getter!?

Mvua ilivunja mchezo... ndio nimeona kwenye TV

...Enzi hizo, kabla ya mechi, au wakati wa mechi ya Simba na Yanga hata kama ni kiangazi cha January, basi itanyesha mvua japo dakika tatu nne hivi...mnh.. hapo Yanga watake wasitake wanalowa tu! ...imani!, hakuna kitu kama imani aiseee... ha ha haa!
 
Wakuu kama Simba kacheza mechi yao na Azam leo tunaomba matokeo kwa yoyote atakaye yapata.
 
Nimeangalia mtandao wa dullonet.com, Wekundu wa Msimbazi wamewafunga Azam bao 3-0. Hivyo nadhani nafasi ya pili sasa tunaisogelea vyema.
 
Nimeangalia mtandao wa dullonet.com, Wekundu wa Msimbazi wamewafunga Azam bao 3-0. Hivyo nadhani nafasi ya pili sasa tunaisogelea vyema.

Mechi ngumu ni ya Kagera & ya Yanga, lakini wote wanafungika tu!
 
Nimeangalia mtandao wa dullonet.com, Wekundu wa Msimbazi wamewafunga Azam bao 3-0. Hivyo nadhani nafasi ya pili sasa tunaisogelea vyema.

...na lile la jana wamelihesabu? πŸ˜€
 
...na lile la jana wamelihesabu? πŸ˜€

Nadhani sasa itakuwa 4-0 πŸ˜€. Hivi sasa Mgosi adhabu yake itahesabika kuwa hajacheza mechi moja au mbili? (I mean zote ni dhidi ya Azam, ingawa ni mechi mbili)
 
Mechi ngumu ni ya Kagera & ya Yanga, lakini wote wanafungika tu!

...duh, wameminya kimyaaaa bila kutuletea matokeo hapa, nimeyatafuta na kuyaibua hukoooo...
Simba taifa kubwa!
 
eeee kidedeaa eeee kidedeA..........Raaaahaaa utamuuuuuuuu...tunaisubiria kandambili kwa makamuzi kama hayo
 
Taifa kubwa kutafuta nafasi ya pili?

...wewe Yanga nini? takwimu zinasema;

Yanga Bingwa
Tanzanian Premier League: 17
1968, 1969, 1970, 1971, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000,2003, 2005, 2006, 2008

Simba Bingwa
Tanzanian Premier League: 16
1965, 1966 (as Sunderland)
1972, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2004

kushika nafasi ya pili mwaka huu si hoja saaana, tulipokuwa Mabingwa nanyi mlikuwa mnatafuta nafasi ya pili vile vile. Mpira unadunda khakhaaaaa!

SIMBA TAIFA KUBWA!
 
Simba leo wameshika nafasi ya pili na watacheza Confederation cup baada ya kuwafunga Polisi Dodoma 2-0

Vila Squad na Polisi Dodoma wameshuka daraja leo rasmi!

Hongereni watani wetu Simba!
 
Simba leo wameshika nafasi ya pili na watacheza Confederation cup baada ya kuwafunga Polisi Dodoma 2-0

Vila Squad na Polisi Dodoma wameshuka daraja leo rasmi!

Hongereni watani wetu Simba!

...hivi kuna watu walidhani Mnyama ataikosa nafasi ya pili? nyie mnacheza kweli πŸ™‚

SIMBA TAIFA KUBWA!​
 
...hivi kuna watu walidhani Mnyama ataikosa nafasi ya pili? nyie mnacheza kweli πŸ™‚

SIMBA TAIFA KUBWA!​

Watakuwa wameanza kufuatilia soka ukubwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…