Simba Sport Wakata Rufaa?

Simba Sport Wakata Rufaa?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,548
Jamani wa JF samahani kama nitawakwaza wengi hasa wapenzi wa Timu ya Simba. Nimesikia leo asubuhi kuwa Uongozi wa Timu ya Soka ya Simba wamekata Rufaa dhidi ya hii timu yenye jina linalotamkika KIFARAGHA napenda kujua ni kwanini wamekata rufaa???
 
Bangi bwana. Zile goli 6_0 za Raja Casablanca mshasahau enh!??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ngoja kaka wa kibastola aseme labda atakata tena rufaa maana amekalia kuti kavu
 
Mapovu ya rage. Anataka kuwazima wasimfukuze. Yaani rage, ndolanga,wambura, malinzi wote ni wale wale
 
Wanakata rufaa kwenda kuaibika zaidi. Sasa huo vakuwa uwendawazimu.
 
Bangi bwana. Zile goli 6_0 za Raja Casablanca mshasahau enh!??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kijana....wee profile ya Raja C unaijua wewe?

LIBOLO are mere minnows lakini Simba wamepanua yooooote!....Mngekutana na Raja C kwa hichi kitimu chenu cha sasa cha maha-RAGE mngening'inizwa dazeni kabisa!!
 
Jamani wa JF samahani kama nitawakwaza wengi hasa wapenzi wa Timu ya Simba. Nimesikia leo asubuhi kuwa Uongozi wa Timu ya Soka ya Simba wamekata Rufaa dhidi ya hii timu yenye jina linalotamkika KIFARAGHA napenda kujua ni kwanini wamekata rufaa???

Hawakutumia condom
 
Huu mwaka sio wao Simba kwa maana kama wangefuzu wangekutana na FC CHIPUMBU ya Msumbiji hapo si ingekua balaa lingine tena! bora walivyotolewa wapumzike.
 
Bangi bwana. Zile goli 6_0 za Raja Casablanca mshasahau enh!??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

1. Mla ni mla leo, mla jana kala nini?
2. Mavi ya kale hayanuki.
3. 'Lyabonaga i nzila, litungagi lyabonaga i nzila'.
 
Back
Top Bottom