Kikubwa magoli.. Na leo tumeshinda tusipowapongeza wachezaji wetu na kushangilia ushindi basi tutakuwa zaidi ya wendawazimu.. We are living our moments[emoji322]Mkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Sasa si ndiyo furaha kwenu mayowe ya nini sasa?Kwa kweli tukiwekaushabiki pembeni jamaa wana shida..
Katikati na central foward hakuna kitu
Hawa madogo wangepunguza kitete walikua watoke na ushindi au draw..
Kiufupi ile simba ya akina miquossone,Morisson,chama,kagere...sio hii kabisa.yaani mbaaali
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Namba Sita wa Yanga ni nanMkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.
Sasa nawaambia safari za mikoani zikianza msianze kulialia hapa
Narudia tena simba mna timu Mbovu kiufundi na ngoja niwaambie matatzo yenu yalipo kwa sasa!!
Hamna namba 2 , na hamna namba sita Pamoja na namba 9.
Msimu ulioisha nilisema mapungufu yenu hapa nikaishiwa kutukanwa.
Viwanja vya mikoani mtapasuka Sana kule mbeya,Singida, Arusha na Mwanza.
Lazima mtibu swala la msingi msifunike jipu Simba ni mbovu bado matatzo ya mwaka jana ndio hayojayo mwaka huu.
Unajikuta una uchungu kuliko wanaSimba... Angalia nyongo isikutoke...
Tukianza kulia, wewe shika kopo la maji mbele tembea hadi chooni kateremshe kimba...
@Nyamizi nitake radhi mimi sio Uto a.k.a kimba f.c mimi ni Simba. ifike wakati tujadili vitu bila ushabiki.Cry more dear uto[emoji4]
Wacha MBUMBUMBU wafarijianeHongera kolo kwa kuongoza ligi. But magoli yote ni kwa uzembe wa defense lain ya kagera. Na pia wangeweza kuwatangulia endapo wangekua makini.
All in all mpira mchezo wa makosa but kiungo bado sana, na watara na enock sio combo nzuri. Striker bado sana.
Kwa namna alivyoimarika Dejan naona ataifikisha mbali Simba Sport Club.Dejan ama Phiri wanatosha kbs kwa center forward.
Labda hili la kuongeza kiungo mkabaji.
Kenge mpaka atokwe na damu masikioniMkija kuanza kuchezea vichapo msije kurudi hapa kulialia maana leo mnashangilia nchi nzima utafikiri mmechukua ubingwa wa Africa.