Simba sc yasababisha kupanda kwa deni la taifa

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,476
37,747
Kutoka utunwani Misri,
Baada ya wiki tukio la klabu bingwa Tanzania Simba SC kufungwa na SC Vita ya Congo DR magoli 5-0 deni la Taifa lilipanda na kufikia Trilioni 61.8. Jana Simba hao hao huko Misri wamerudia makosa yaleyale na hatujui hasara waliyosababisha huko Misri itapandisha deni la Taifa kwa kiwango gani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom