Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,171
- 138,423
YANGA anao uhakika wa angalau alama moja, hawezi kutokea wa mwisho kwenye kundi lake.SIMBA imeshaipa neema Tanzania [emoji1241] baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.
Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.
Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.
Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.
Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi
Tulia basi hata kama una maumivu ya huo mwiko wenuMbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Mara Super LeagueCAF hawataki kabisa kuiachia Simba SC, mara nafasi ya 10 kwa ubora, mara wachezaji watu wanaunda kikosi cha wiki, hatujakaa vizuri mara Chama mchezaji bora wa wiki wa CAF.
Kuingiza timu nne ni jambo la kipuuzi?Mbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Kwa vile ni mpuuzi anaona kila kitu upuuziKuingiza timu nne ni jambo la kipuuzi?
Yanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!Tate Mkuu yana ukweli haya?
Wapongeze sasaSIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.
Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja.
Aidha Yanga kuwepo kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kimeihakikishia Tanzania pointi 0.5.
Timu hizo mbili zimefanya Tanzania iwe na pointi 29 na kushika nafasi ya tisa katika viwango vya mafanikio ya nchi kutokana na ushiriki kwenye mashindano ya klabu Afrika ambavyo nchi 12 zilizo juu ndizo kila moja inapata nafasi nne za uwakilishi kwenye mashindano ya Afrika.
Yanga watakuwa wamejipatia point 1 yaani 0.5 ya mwaka huu na ile ya 2018 walioshika mkia kwenye kundi
Record cleared,thread closedYanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!
Hayo masuala kuingiza timu 4, yanazisaidia timu za Azam, Geita Gold, Namungo, Singida Big Stars, nk. Kwa upande wa Yanga, hayana mashiko.
Unafanana na Avatar yakoKubwa jinga miaka yote hiyo lina point 1 tu . Linazidiwa hadi na vitoto vya juzi Namungo vina point 2. Hovyo kabisa hilo likubwa jinga
Utopolo wenye akili ni Mzee wa msoga na manara senior wengine waliobaki wote hawana akiliMbumbumbu fc ayo ndio makombe Yao.Muwe wavumilivu mtakaa katika Hali kama iyo ya kujifariji Kwa vitu vya kipuuzi Kwa muda mrefu sana.
Msimu huu kama mmekosa kombe la Mapinduzi basi msahau maswala ya Makombe.
Yanga limechongwa kabati jipya la makombe linatakiwa lijae ndani ya misimu mitano.
Unashida mkuu? Mwenye uzi amesema Tanzania wewe unasema Yanga kwani Yanga ni Taifa mkuu,Yanga anashiriki Klabu Bingwa kupitia nafasi yake halali baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu, au Kombe la ASFC!
Hayo masuala kuingiza timu 4, yanazisaidia timu za Azam, Geita Gold, Namungo, Singida Big Stars, nk. Kwa upande wa Yanga, hayana mashiko.
Aisee nilikuwa mbali nimekuja baada ya kusikia kelele za mavuvuzela ya litimu la mambumbumbu linaloshiriki klabu bingwa kwa kucheza na mabingwa ila nyumbani kwao haina hata harufu ya ubingwa!Ngoja vijana wa GSM waje, saizi wapo kushusha mizigo ya silent ocean pale port. Jiandae psychologically