News Alert: Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

Adel Zrane ana PhD ya Sport Science katika eneo la viungo anakosa sifa zipi ?
Unachoshangaa ni nini hapo?

Nimekwambia taarifa imetoka kwa mtu ambaye ni mwana simba na ashawahi pia kuwa mjumbe.

TFF waliwaambia Simba huyo jamaa kwanzia mechi inayokuja hatakiwi kuwepo kwenye benchi.

PHD utaipata chuoni lakini ni lazima upitie pia kozi za CAF na UEFA ili upate leseni zao.
 
Maybe ngoja nimpe benefit of doubt ?
 
Huu ndio mwanzo wa migogoro, kuna kila dalili timu itaanza ku-under perform
Kama watashindwa kuhimili 'pressure' kutoka kwa washabiki na wanachama ndio kutakuwa na migogoro ila kwenye mpira haya ni ya kawaida tu.
 
Benchi la ufundi la Yanga limekamilika kila idara! Tuna shida gani sisi mpaka tufikie hatua ya kumchukua kocha wa kukaa jukwaani wakati wa mechi za kimataifa, kutokana na elimu yake ya kuunga unga!!
Yanga haina mechi za kimataifa msimu huu...mchukueni tu.
 
Back
Top Bottom