Simba SC vs Ashanti United

simba wanaongoza goli 1 lilofungwa na singano
 
naona nyasi zinakauka kwa kasi pale uwanjani
 
Kwani maharage kalipa hiyo m25 au

Hawajalipa, wamekubali kulipa. Wanacheza kwa mkopo wa 25m/= (on credit) hii inanikumbusha kuna vijana wanyawima wanaoshughulika na kazi za ujenzi hula chakula kwa madeni hadi mkandarasi atakapowalipa, wakati mwingine hata wakihitaji kuliwazwa kimapenzi na wale wapishi pia hupata huduma hiyo on credit. Hawa ndiyo Simba bana.
 
simba bado wanatatizo la kupoteza pasi mkude na joseph hawaelewani
 
Ashanti wanajitaidi kucheza lakini hawana staika wa uhakika
 
mpira umesimama kuna mchezaji wa Ashanti ameumia
 
henry joseph anapoteza sana mipira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…