Simba SC vs Ashanti United

...kutoka Uwanja wa Taifa DSM mpira umekwisha.

Tukutane CHAMAZI kesho...
 
...kutoka Uwanja wa Taifa DSM mpira umekwisha.

Tukutane CHAMAZI kesho...

Mkifika watu 200 Chamazi mtakuwa na bahati sana. Wengi wataenda kushangilia timu yao huku Wazee wa Draw nao wakielekea Taifa kuizomea timu ya wananchi hivyo Chamazi wataenda SSB and Family, anayebisha asubiri kesho muda ufike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…