Kagame CUP hatushiriki, hatutaki stress tena, tunaenda zetu England kuchukua mafunzo wa Sunderland kwa ajili ya ligi, hatuchezi mechi yoyote ya kimataifa mwaka huu, hiyo nafasi yenyewe ya tatu imetutoa jasho na inawezekana kabisa Kibadeni aliwaambie Kagera Sugar wasikaze kwenye mechi zile mbili ili timu yake ya zamani angalau ipate nafasi ya tatu.
Mawili yalikuwa ya move, na matatu move ziliharibiwa ndo maana zikatoka penati; Mkuu hata hivyo nimewapongeza ila ninachosema ni kwamba timu haikuwa na uwezo wa kufunga goli sita: magoli machache ndo yenu, magoli mengi Simba huwa anafunga akiwa vizuri.
Jikumbushe hapa.
Ungeweka na zile nne nne ili ipendeze, na listi kamili ingekuwa hivi:
Awamu ya Nyerere (JULAI 19, 1977) Simba 6-0 Yanga,
Awamu ya Mwinyi ( JULAI 2, 1994) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Mkapa (MACHI 31, 2002.) Simba 4-1 Yanga,
Awamu ya Kikwete (MEI 6, 2012) Simba 5-0Yanga.