Mkuu wabhejasana ni muhimu kushiriki kila nyanja ya maisha, na michezo ni mojawapo ya eneo ambalo linasaidia sana kuondoa stress na hasira. Baada ya kukurukakara za siasa all week days ni kawaida yangu kujichanganya viwanja vya michezo siku za weekend.
Tuko pamoja mkuu mimi niko upande wa jangwani bila shaka wewe uko msimbazi kwa mzee wa bastola.