Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Wabunifu ni SIFURI KABISA

Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?

Na wewe unawaza sifuri square!
Kwani hiyo timu nyingine itakuwa inajezi zote za rangi aina moja? Halafu kwani hizo jezi za simba zote ni nyekundu purely?
Lakini vile vile utambue hadi wakatambulisha tayari CAF ilishawapa baraka zote kwa kuona kuwa hazina changamoto ya rangi!
Yaani utopolo sijui mkoje lakini!
 
Acha kukariri kila anayekosoa ni wa upande wa pili wa timu pinzani, CAF kwenye inahusikaje?

Hiyo jezi nyeupe yenye rangi nyekundu mbele hawawezi cheza na timu kama Al Ahly inayotumia jezi nuekundu
 
Achana nao hawa, wana hasira kwakuwa watakuwa wanatuona kwenye tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…