Simba SC, mnacho cha kujifunza kwa KVZ FC

Mkuu hoja yako ingekua na mashiko kama ungetumia mfano wa mechi ambayo simba amecheza na yanga hapa karibuni sio mechi na wydad.
 
Mkuu wewe hujui mpira,Umekaa kishabiki tu

Badala ya kuchambua mpira wewe unaongea maneno ya kwenye kanga kama mwanamke wakati ni dume lenye ndevu

Hili jukwaa halikuanzishwa kwa ajili ya kupiga taarabu ,kuna majukwa ya umbea na taarabu

Huna unalowaza zaidi ya simba ,Ukiambiwa simba wachezaji wazee na wametumika sana ,Majibu yako ni Yanga Yanga Yanga

Kila swali la uchambuzi huna majibu zaidi ya kujibu Simba simba simba
 

Tumekufunga mara ngap ?

Na hata sasa ukileta timu tunakufunga
 

Maana ipo
 
Kwani hapo nimechambua nyanya?

Au kwasababu kila uchambuzi ambao ni negative kwa upande wako hauwezi kuwa treated kama uchambuzi?
 
Tumekufunga mara ngap ?

Na hata sasa ukileta timu tunakufunga
Umenifunga katika nyakati gani?

Kipindi ambacho wewe ulikuwa wewe ulikuwa unatumiwa na dola kwenye mambo ya kisiasa kwasababu ni Club ya chama?
 
Umenifunga katika nyakati gani?

Kipindi ambacho wewe ulikuwa wewe ulikuwa unatumiwa na dola kwenye mambo ya kisiasa kwasababu ni Club ya chama?
Unajichosha tu, huyo leo Yanga kesho yupo Simba. Fatilia nyuzi zake vizuri. Ni moja ya mtu anayeongoza kwa kutokuwa na msimamo. Leo atakuja na uzi wa kujifanya ni Simba huku akisifu Simba imekuwa imara, kesho atakuja na uzi simba bado ina cha kujifunza.
 
Haya ni matusi yan leo Simba waljifunze kwa kvz?
Hawa madogo wanatafuta ugal wa kesho so wanakaza ili kutafuta sajili ila huwez sema wanahvyo viwango.

Mbona hapa bara tunaona Namungo anamkazia sana yanga au simba ila akicheza na mtibwa anapigwa kupigo cha mbwa kokooo.
Yafaa ujue mpira zaid
 

Ndio nini ?
 

Simba mngecheza kama wale jamaa mngefika mbali
 
Umeanza vizuri ila paragraph ya mwisho umeharibu.
 
Hakuna nyongeza ..
 
Natamanikuwaonawengi ligikuu baraa
Allbest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…