Wanasimba wenzangu tujiandae kisaikolojia. Dalili zipo wazi kwamba hatutaweza kuwatoa FC Plutnum.
Shida kubwa ni dalili zinazoonyesha kwamba play off tutakayoangukia tutajikuta miguuni mwa UD Songo ambayo inacheza mechi yake kesho dhidi ya NAPSA , UD Songo inapewa nafasi kubwa kuitoa NAPSA.
Tupigeni magoti tusali.