CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League
[emoji830]︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million)
[emoji830]︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million
[emoji830]︎ Timu zitakazofika robo: $800,000
Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika nusu. Kwa hivyo ikiwa Simba itafika nusu fainali itapata zaidi ya bilioni 2.3